Nenda kwa yaliyomo

Wafa Bughaighis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafa Bughaighis ni mwanadiplomasia wa Libya, mwanaharakati wa amani na elimu ambaye anajali wanawake na pia mhandisi wa kemikali.[1][2] Alikuwa Balozi wa Libya nchini Marekani kuanzia novemba 2017 hadi agosti 2021.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Women's History Month - Wafa Bughaighis | Middle East Policy Council". mepc.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-13.
  2. Correspondent, Chuck Leddy Harvard (17 Januari 2013). "Women waging peace". Harvard Gazette. Iliwekwa mnamo 2021-12-13.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wafa Bughaighis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.