Wadja Egnankou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wadja Egnankou ni mwanasayansi kutoka Cote d'Ivoire na mtafiti katika Chuo Kikuu cha Abidjan. Alipokea Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 1992 kwa juhudi zake za kulinda misitu ya mikoko ya nchi.[1][2]


[Mbegu-mtu}}

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Africa 1992. Wadja Egnankou". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-02. Iliwekwa mnamo 9 Septemba 2009.
  2. https://www.greengrants.org/2018/04/19/heroes/