Nenda kwa yaliyomo

Vuyo Dabula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shandu Magwaza
Amezaliwa Vuyo Dabula
11 Septemba 1976
Mahikeng, Afrika Kusini
Kazi yake Mwanamitindo, Muigizaji na Mjenzi wa mwili/Mtunisha misuli
Ndoa Ameoa


Vuyo Dabula (amezaliwa 11 Septemba 1976)[1] ni mwanamitindo wa Afrika Kusini ,mwigizaji na mnyanyua vyuma. Anajulikana zaidi kwa jukumu lake kama Shandu Magwaza kwenye Netflix uigizaji wa kialifu, Queen Sono.[2]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Alisoma katika shule ya P.H Moeketsi Agricultural High ambapo alihitimu mwaka 1995, akifuatiwa na Wits Technikon, ambapo alihitimu baada ya mwaka 1996. Alidai kile alichojifunza shuleni sio kitu alikua akipendezwa nacho katika kufanya kazi yake siku zijazo; badala yake alianza kuigiza. Kwa kuigiza,alisoma AFDA Cape Town.[3]

Ni maarufu zaidi kwa jukumu lake la Kumkani Phakade katika Afrika Kusini soap, Generations.[4] Vuyo pia alionekana kwenye Avengers: Age of Ultron (2015) na alicheza jukumu kuu kwenye filamu ya mwaka 2017 Five Fingers for Marseilles.[5] Vuyo kwa sasa ni nyota kwa jina la Shandu, mpelelezi kugeuka kuwa muasi pamoja na maslai ya mapenzi kwa Pearl Thusi's muhusika kwenye Netflix's filamu ya kwanza ya mfululizo ya kiafrica, Queen Sono.[6]Mwezi April 2020, mfululizo wa filamu ulirudiwa kwa msimu wa pili na Netflix.[7] Hata ivyo, Novemba 26, 2020, iliripotiwa kuwa Netlix ilifuta mfululizo wa filamu iyo kwasababu ya changamoto ya uzalishaji iliyoletwa na ugonjwa wa COVID-19 pandemic.[8]

Filamu alizoshiriki

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina la filamu Jukumu Maelezo
2009 Invictus Mlinzi wa Raisi
2013 Mandela: Long Walk to Freedom Mjumbe wa kituo cha biashara cha dunia
2015 Avengers: Age of Ultron Askari polisi wa Johannesburg
2017 Five Fingers for Marseilles Tau

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina la kipindi Jukumu Vipande Maelezo
2011 Wild at Heart Kane
2014 Kowethu Mothusi
2017 Generations: The Legacy Gadaffi
2020 Queen Sono Shandu Magwaza
  1. "Vuyo Dabula Acting Career".
  2. Herimbi, Helen (Machi 2, 2020). "Queen Sono: The spy and the good guy". News24. Iliwekwa mnamo Mei 7, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "AFDA: Vuyo Dabula". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-15. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  4. "Vuyo Dabula reveals how he deals with all the attention". TimesLive. Julai 28, 2017. Iliwekwa mnamo Mei 7, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Golding, Shenequa (Septemba 7, 2018). "Instead Of A White Savior, A Black Man Is The Hero In The African Western 'Five Fingers For Marseilles'". Vibe. Iliwekwa mnamo Mei 7, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Isama, Antoinette (Juni 11, 2019). "Production for 'Queen Sono,' Netflix's First African Original Series, Is Underway". OkayAfrica. Iliwekwa mnamo Juni 12, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Kanter, Jake (Aprili 28, 2020). "'Queen Sono': Netflix Renews Its First African Original Series". Deadline Hollywood. Iliwekwa mnamo Aprili 28, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Eloff, Herman (Novemba 26, 2020). "Queen Sono's second season cancelled amid 'current trying times'". Channel24. Iliwekwa mnamo Novemba 26, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vuyo Dabula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.