Vivian Nasaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vivian Nasaka Makokha, alizaliwa 19 Disemba 1999 anajulikana kama Vivian Nasaka ni kiungo cha mpira wa Kenya ambae alicheza kama mtetezi wa Vihinga Queens FC na timu ya mpira ya wanawake wa Kenya.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Nasaka aliishindia Kenya katika ngazi ya juu wakati wa CECAFA women's championship 2019 na kombe la Wanawake wa Turkish. [1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivian Nasaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.