Vita vya Meskiana
Mandhari
Vita vya Meskiana vilitokea Afrika Kaskazini mwaka 698 kati ya vikosi vya Umayya vya Hassan ibn al-Nu'man na Malkia Dihya.
Kulingana na mwanahistoria Ibn Idhari baada ya kuangamiza mji wa Carthage, Hassan ibn al-Nu'man aliuliza kuhusu chifu mwenye nguvu zaidi katika Afrika yote.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vita vya Meskiana kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |