Vitória, Espírito Santo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Vitória, Espírito Santo


Jiji la Vitória
Majiranukta: 20°19′08″S 20°19′08″W / 20.31889°S 20.31889°W / -20.31889; -20.31889
Nchi Brazil
Kanda Southeast
Jimbo Espírito Santo
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 320,156
Tovuti:  www.vitoria.es.gov.br

Vitória ni jina la mji mkuu wa jimbo la Espírito Santo katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 320,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vitória, Espírito Santo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.