Nenda kwa yaliyomo

Vincenzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vincenzo (kwa Kikorea: 빈센조; RR: Binsenjo) ni safu ya runinga ya Korea Kusini inayoigizwa na Song Joong-ki, Jeon Yeo-been, Ok Taec-yeon, Kim Yeo-jin na Kwak Dong-yeon.

Ilirushwa hewani kwenye tvN kutoka Februari 20 hadi Mei 2, 2021.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincenzo kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.