Victor Kilasile Mwambalaswa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Victor Kilasile Mwambalaswa (amezaliwa tar. 8 Mei 1953) ni mbunge wa jimbo la Lupa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Victor Kilasile Mwambalaswa (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.