Viboko shuleni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Viboko shuleni ni uumizaji wa makusudi inayosababisha maumivu ya kimwili kutokana na tabia isiyotakiwa ya wanafunzi.

Adhabu ya viboko inaweza kuhusisha kumpiga mwanafunzi matakoni au kwenye viganja vya mikono[1] kwa zana kama vile kamba ya ngozi, fimbo au kijiti cha mbao. Mara chache sana, inaweza pia kujumuisha kuchapa au kumpiga mwanafunzi kwa mkono wazi, haswa katika shule ya chekechea, shule ya msingi, au viwango vingine vya chini zaidi.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.corpun.com/casc7107.htm
  2. "CORPORAL PUNISHMENT IN BRITISH SCHOOLS". www.corpun.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-15. 
  3. Chandos, John (1984). Boys Together: English Public Schools 1800-1864. London: Hutchinson, esp. chapter 11
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viboko shuleni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.