Nenda kwa yaliyomo

Venant Bacinoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Venant Bacinoni (20 Februari 1940 – 23 Julai 2022) alikuwa ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Burundi.

Alikuwa askofu wa Bururi kuanzia mwaka 2007 hadi 2020.

[1]

  1. "Bishop Venant Bacinoni †". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.