Nenda kwa yaliyomo

Vanessa Nakate

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vanessa Nakate (alizaliwa 15 Novemba 1996) ni mwanaharakati wa haki ya hali ya hewa kutoka Uganda . [1]

Maisha ya zamani

[hariri | hariri chanzo]

Nakate alilelewa na kukua katika mji mkuu wa Uganda, kitongoji cha Kampala.[2] Alilelewa na kukua jijini Kampala baada ya kuwa na wasiwasi kuhusu joto jingi katika mji wake isivyo kawaida ndipo, Nakate akawa mtu mashuhuri mwezi wa Desemba 2018. [3]Nakate alihitimu shahada ya usimamizi wa biashara ya masoko kutoka Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Makerere[4]

  1. "'Greta Thunberg in Madrid: "I hope world leaders grasp the urgency of the climate crisis"", El País, 6 December 2019. 
  2. Dahir, Abdi Latif (2021-05-07), "Erased From a Davos Photo, a Ugandan Climate Activist Is Back in the Picture", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2023-01-23
  3. "3 young black climate activists in Africa trying to save the world". Greenpeace UK (kwa Kiingereza). 2019-10-28. Iliwekwa mnamo 2023-01-23.
  4. Frank Kisakye. "22-year-old Nakate takes on lone climate fight". The Observer - Uganda (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-01-23.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vanessa Nakate kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.