Vageata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vageata ulikuwa mji wa kale katika Dola la Roma, ambamo waliishi jamii ya Waberberi. Mji huu ulikuwa katika jimbo la kirumi la Mauretania Caesariensis.[1] Pia mji huu huitwa Bagatensis,[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Vageatensis
  2. Leslie Dossey, Peasant and Empire in Christian North Africa (University of California Press, 2010) p205.
  3. Jesper Carlsen, Vilici and Roman Estate Managers Until AD 284, Part 284 (L'ERMA di BRETSCHNEIDER, 1995) p81-82.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vageata kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.