Nenda kwa yaliyomo

The Velvet Underground

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka VU)
The Velvet Underground
The Velvet Underground kutoka 1966 - Lou Reed, Sterling Morrison, John Cale, Maureen Tucker na Nico
The Velvet Underground kutoka 1966 - Lou Reed, Sterling Morrison, John Cale, Maureen Tucker na Nico
Maelezo ya awali
Asili yake New York City
Aina ya muziki Rock
Miaka ya kazi 1965-1973, 1990, 1992-1994, 1996, 2009
Wanachama wa sasa
Lou Reed, Sterling Morrison, John Cale, Maureen Tucker, Nico

The Velvet Underground lilikuwa kundi la muziki wa rock lililoanzisha huko mjini New York City, Marekani. Kwanza lilifanyakazi kuanzia 1964 hadi 1973, wanachama wake maarufu katika bendi hii ni pamoja na Lou Reed na John Cale, ambao wote wawili walikwenda kuwa wasanii wa kujitegemea wenye mafanikio zaidi.

Japokuwa waliambulia mafanikio madogo waliopata wakiwa pamoja, bendi hii hutajwa sana na wataalamu wa kutahakiki muziki ikiwa kama miongoni mwa makundi muhimu na maarufu ya miaka ya 1960.[1]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Richie Unterberger, [The Velvet Underground katika Allmusic "The Velvet Underground"], kwenye Allmusic, meelezwa April 29, 2007.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Velvet Underground kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.