Uzani atomia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uzani wa atomi)
Uzani atomia ni neno la kueleza masi ya atomi ya elementi ya kikemia. Ni pamoja na masi za protoni, nyutroni na elektroni ndani yake.
Kiwango rejea ni masi ya atomi ya Kaboni 12C. = 12 [u]
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uzani atomia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |