Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa taifa (Botswana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Kitaifa wa Botswana ni uwanja wenye matumizi mengi huko Gaborone,nchini Botswana. Hivi sasa unatumiwa zaidi na Chama cha mpira wa miguu. Uwanja huo unaingiza idadi ya watu 25,000.

Muhtasari

[hariri | hariri chanzo]

Uwanja huo umezungukwa na sehemu ya mchezo wa riadha, uwanja huo umeambatanishwa na ukumbi wa Rugby(mchezo wa rugby), ambapo hautumiki tena,pia kuna kituo cha tenisi. Kuanzia tarehe 22 hadi 31 Mei 2014, uwanja huo uliandaa michezo ya vijana ya Afrika yaliyoitwa 2nd African Youth Games, Gaborone 2014

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa taifa (Botswana) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.