Uwanja wa michezo wa manispaa ya Djougou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa manispaa ya Djougou.

Uwanja wa michezo wa Manispaa ya Djougou ni uwanja wa michezo unaopatikana Djougou, nchini Benin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Panthères FC inayoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 3,400.[1]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stadiums in Benin. worldstadiums.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Djougou kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.