Uwanja wa michezo wa manispaa ya Bohicon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Paulin Tomanaga de Bohicon avec l'équipe locale Tonnerre FC

Uwanja wa michezo wa manispaa ya Bohicon ni uwanja wenye matumizi mengi inayopatikana Bohicon,nchini Benin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Tonnerre d'Abomey FC inayoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 5,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Bohicon kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.