Uwanja wa michezo wa l'Amitié

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa l'Amitie unajulikana kama Uwanja wa urafiki (Friendship) unatumika kuandaa michezo mbalimbali na unapatikana huko Cotonou, nchini Benin. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na riadha.[1] Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 20,000.

Viunga vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Benin's work cut out for 2005 BBC Sport, 29 March 2002
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa l'Amitié kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.