Uwanja wa michezo wa jiji la Buffalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja Wa Buffalo
Uwanja Wa Buffalo mwaka 1948

Uwanja wa michezo wa jiji la Buffalo (ambapo ulikuwa ukijulikana kama uwanja wa michezo wa BCM) ni uwanja wenye matumizi mengi huko mashariki ya London, Afrika Kusini. Mara nyingi umekuwa ukitumika kwa mechi nyingi za michezo ya Ragby na ni uwanja wa nyumbani wa watu wa mipakani. Uwanja huo una uwezo wa kuingiza watu wapatao elfu kumi na sita (16,000).

Uwanja huo umepewa majina matatu. Jina lake halisi ulikuwa ukijulikana kama viwanja vya muungano wa Ragby, ambapo ukabadilishwa jina na kuwa uwanja wa Basil Kenyon, baada ya mchezaji Springbok ambaye aliongoza mashindano ya Springbok kwa miezi mitatu huko Uingereza mnamo mwaka 1951. Pia ulijulikana kama uwanja wa mchezo wa ABSA, kwa ajili ya maswala ya ufadhili.[1][2]

Mnamo tarehe 26 Juni, 2010, Uwanja wa BCM iliandaa mechi ya majaribio kati ya Italia na Afrika Kusini.

Mechi mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Agosti 1978, watazamaji wapatao 5,500 katika uwanja huo walitazama timu za Wilaya za nchi ya Afrika Kusini ikiwakabili timu ya Cougars ya Marekani.[3][4]

Kombe la dunia la mchezo wa Rugby mwaka 1995[hariri | hariri chanzo]

Uwanja huu uliwahi kuwa moja kati ya Kumbi za kombe la dunia la Rugby mnamo mwaka 1995.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Craven Week in History". 2010-06-25. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-07-08. Iliwekwa mnamo 2011-12-26.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  2. "Absa Stadium". BuffaloCity.gov.za. Oct 13, 2009. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 January 2011. Iliwekwa mnamo 8 March 2010.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Sports Shorts", The Robesonian, 1978-08-11. 
  4. Select Books (2010). "Sports Catalogue May 2010. [Opens .doc file directly.]". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-09. Iliwekwa mnamo 2011-12-21.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)