Uwanja wa michezo wa Zamdela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Zamdela ni uwanja wenye matumizi mengi katika Mji wa sasolburg, eneo huru la Afrika Kusini.Kwa sasa unatumika sana kwa mechi za mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa Free State Champs.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Zamdela kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.