Uwanja wa michezo wa Tongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo Tongo ni eneo la kimichezo lililopo katika eneo la Kenema jimbo la Mashariki mwa nchi ya Sierra Leone ni uwanja unaotumika kwa ajili ya mashindano ya ligi kuu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Gem Stars.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Tongo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.