Uwanja wa michezo wa Sugar Ray Xulu
Uwanja wa michezo wa Sugar Ray Xulu ni uwanja wenye matumizi mbalimbali katika mji wa Clermont uliopo Durban uko nchi ya Afrika Kusini. Mara nyingi umetumika kwa matumizi ya michezo ya mpira wa miguu, na ulichaguliwa kama moja ya maeneo matatu(3) ya mazoezi kwa timu zinazoshiriki Kombe la dunia na shirikisho la mpira wa miguu duniani(FIFA) mwaka 2010 baada ya kukarabatiwa mnamo mwaka 2010 na kufikia viwango vya FIFA. Kutokana na uwezo mdogo wa kuchukua mashabiki wengi ulipanuliwa kutoka mashabiki 1,700 mpaka 6,500 ukiwa kama mrithi wa kudumu wa kombe la Dunia.
Uwanja huo ulipewa jina la Cedric Xulu ambaye alikuwa nguli anayeishi Durban mchezaji wa zamani miaka ya 1960 wa timu ya mpira wa miguu ya Amazulu ya Afrika Kusini na timu ya Mbabane Swallows iliyopo Uswizi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sugar Ray Xulu kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-18. Iliwekwa mnamo 2010-03-29.
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link)