Uwanja wa michezo wa Stade d'Angondjé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stade de l’Amitié sino-gabonaise ni uwanja wa michezo katika mji wa Libreville nchini Gabon, pia hujulikana kama Stade de l'Amitié.[1] ujenzi wa uwanja huu ulitarajiwa kutumia miezi 20 ili kukamilika na ulofadhiliwa na serikali ya Gabon na China

Ulikuwa ni mmoja wa viwanja vinne vilivyotumika wakati wa nusu fainali za mashindano ya Mataifa huru ya Afrika mwaka 2012

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lancement des travaux de construction du stade de l’amitié sino-gabonaise" (kwa Kifaransa). afriqueavenir.org. April 2010. Iliwekwa mnamo 24 July 2010.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Stade d'Angondjé kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.