Uwanja wa michezo wa René Pleven d'Akpakpa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa René Pleven d'Akpakpa

Uwanja wa michezo wa René Pleven d'Akpakpa ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi yanayopatikana huko Cotonou, nchiniBenin. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Requins de l'Atlantique FC. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 15,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2021-06-11.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa René Pleven d'Akpakpa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.