Uwanja wa michezo wa Petro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Petro ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali ukiwa naviti zvipatavyo 16,000 unaopatikana katika mji wa Cairo nchini Misri. Uwanja huu ulikamilika mnamo mwaka 2006. Uwanja huu umekuwa ukitumika kama uwanja wa nyumbani wa Klabu ya ENPPI pamoja na vilabu vingine huko Misri. Timu ya Zamalek SC pia imekuwa ikicheza michezo yao mingi ya nyumbani kwenye uwanja wa Petrosport. Uwanja huu ulitengenezwa na watu wengi, wakiwepo wabunifu kama Jana mahmoud , Mohannad alaa, mustafa khleed , Doaa Saad , yousef khaled na wengine wengi ambao hawajajumuishwa kati ya wafanyakazi walioshiriki katika ujenzi wa uwanja huu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Petro kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.