Uwanja wa michezo wa Olympia Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Olympia Park ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi mengi na uwanja huu unapatikana huko Rustenburg, Kaskazini Magharibi mwa Afrika Kusini. Ulio changanywa na Uwanja wa michezo wa Royal Bafokeng ambapo michezo ya Kombe la Dunia la mwaka 2010 ilichezewa, kwa sasa uwanja huu wa Olimpia Park unatumika zaidi kwa ajili ya mechi za mpira wa miguu na michezo ya raga kwa usimamizi mzuri wa Chama cha mpira wa miguu na Umoja wa michezo ya raga. Uwanja huu pia ulitumika kama uwanja wa mazoezi kwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2010.[1]

Mechi Mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

Kombe la Dunia la michezo ya Raga(Rugby) la mwaka 1995[hariri | hariri chanzo]

Wakati wa Kombe la Dunia la Mchezo wa Raga(Rugby) la 1995, uwanja huu wa Olympia Park uliandaa mechi tatu za hatua ya makundi.[2]

Tarehe Timu #1 Res. Timu #2 Mzunguko Mahudhurio
1995-05-26 Côte d'Ivoire}} 0–89 Scotland}} Kundi D 20,000
1995-05-31 Ufaransa}} 54–18 Côte d'Ivoire}} Kundi D 17,000
1995-06-04 Côte d'Ivoire}} 11–29 Tonga}} Kundi D 16,000

Uwanja huu huandaa pia michezo mingine kwa watu mbalimbali na vipindi tofauti ikiwemo ligi kuu na ile ya ABSA kwa njia tofauti tofauti.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Cite web |url=http://www.sa2010.gov.za/en/highlights-2010 |title=Archived copy |access-date=2010-03-31 |archive-url=https://web.archive.org/web/20100204133419/http://www.sa2010.gov.za/en/highlights-2010 |archive-date=2010-02-04 |url-status=dead
  2. Cite web |url=http://2010worldcupsouthafrica.com/2010-world-cup-cities/rustenburg-city-profile.php |title=Archived copy |access-date=2010-03-31 |archive-url=https://web.archive.org/web/20100329154338/http://2010worldcupsouthafrica.com/2010-world-cup-cities/rustenburg-city-profile.php |archive-date=2010-03-29 |url-status=dead
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Olympia Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.