Uwanja wa michezo wa Nyamirambo
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Kigali, kwa jina la utani kama ni uwanja wa michezo katika jiji la Kigali nchini Rwanda uwanja huu unatumika sana kwa ajili ya mashindano ya mpira wa miguu na hutumika pia kama uwanja wa nyumbani kwa timu za APR FC na Rayon Sports.
Uwanja huu unatumia nyasi za bandia. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Rwanda/South Africa: SA Firm to Renovate Nyamirambo Stadium". Allfrica.com. Allfrica.com. 2008-04-26. Iliwekwa mnamo 2009-01-18.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Nyamirambo kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |