Uwanja wa michezo wa Mutesa II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Mutesa II ni uwanja wenye shughuli mbalimbali za kimichezo huko Kampala nchini Uganda. Hivi sasa hutumiwa zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu (soka) na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa kilabu ya Express F.C[1] inayoshiriki Ligi Kuu ya Uganda. Uwanja huu una uwezo wa kustahimili watu 20,200.[2] Uliitwa jina hilo kwa sababu ya jina la Mutesa II wa Buganda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Express Sports Club". Soccerway. Iliwekwa mnamo 2014-02-14. 
  2. "World Stadiums - Stadiums in Uganda". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-10. Iliwekwa mnamo 2021-06-10. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mutesa II kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.