Uwanja wa michezo wa Martyrs wa Februari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Benina Martyrs(lang-ar | ملعب شهداء بنينة) mwaka 2011 uliitwa rasmi Uwanja wa Soka wa Hugo Chávez(lang-ar | ملعب هوغو شافيز) nchini Libya ni uwanja maalum wa Soka hapo Benina, mashariki mwa Benghazi. Uwanja huo ulijengwa na kampuni hiyo hiyo iliyojenga Brita-Arena huko Ujerumani. Uwanja huo una uwezo wakubeba takribani watu 10,550. Huu ni uwanja wa kwanza wa Libya. Uwanja huu pia unatumiwa na vilabu vya Benghazi na timu ya kitaifa ya mpira wa miguu ya Libya vile vile. Nyasi zake ni bandia. Vipimo vya uwanja ni 105m x 68m. } Gharama za ujenzi wa uwanja huo zilikuwa karibu na | LYD milioni 20.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Martyrs wa Februari kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.