Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Lebowakgomo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Lebowakgomo ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali uliopo Lebowakgomo, kilometa 60 kutoka kusini kwa Polokwane, Katika mkoa wa Limpopo nchini Afrika Kusini. Mara nyingi umekuwa ukitumika hasa kwa matumizi ya mchezo wa mechi za mpira wa miguu, na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Fanang Diatla F.C. inayoshiriki ligi ya Vodacom

Mnamo mwaka 1993, uwezo wa uwanja huo katika maandalizi ya hafla za jamii ilionekana kuwa na uwezo wa kuchukua idadi ya watu wapatao 2000.[1].[2]

Maboresho

[hariri | hariri chanzo]

Manispaa ya Lepelle-Nkumpi iliandaa mradi wa ukarabati na maboresho ya uwanja wa Lebowakgomo, ikijumuisha ukomo wa muda wa wakandarasi wa ujenzi tarehe 12 Novemba 2010.[3][4]

  1. SAPA (1993-09-19). "Cosatu general secretary confirm support of the ANC in the coming elections". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-26. Iliwekwa mnamo 2011-06-17. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. Limpopo provincial government (2009-03-09). "2010 FIFA soccer world cup benefits taken to local municipalities". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-08. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.
  3. Lepelle Nkumpi Municipality (2010-10-19). "Lepelle-Nkumpi - Get a tender: #16461". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.
  4. Engineering News (2010-10-29). "Tender contracts in various municipalities". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-02-23. Iliwekwa mnamo 2011-06-17. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Lebowakgomo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.