Uwanja wa michezo wa Kakyeka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Kakyeka ni uwanja wa michezo wa jiji la Mbarara City katika Mkoa wa Magharibi, nchini Uganda.[1]

Uwanja huo uko upande wa Magharibi wa jiji kuu na una uwezo wa zaidi ya watu 10000. Hivi sasa inatumiwa kama uwanja wa nyumbani wa Mbarara City FC, klabu ya mpira wa miguu inayocheza kwenye ligi kuu ya Uganda.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kakyeka kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.