Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa HM Pitje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa HM Pitje ni uwanja unaotumika katika matumizi mbalimbali uliopo katika mji wa Mamelodi, katika manispaa ya jiji la Tshwane nchini Afrika Kusini. Uwanja huu mara nyingi umekuwa ukitumika katika mechi za chama cha Soka ambapo ulikuwa ukitumika kama uwanja wa mazoezi kwa zile timu zilizoshiriki katika shindano la Kombe la dunia mwaka 2010 baada ya kufanyiwa maboresho mnamo mwaka 2009 na kufikia viwango vya FIFA.[1]

Hapo zamani ulikuwa uwanja wa muda wa nyumbani wa timu ya Mamelodi Sundowns FC ambao kwa sasa wanacheza katika uwanja wa Loftus Versfeld

Uwanja huo ulipewa jina la Meya wa Mamelodi ajilikanaye kama Hezekiel Mothibe Pitje.[2]

  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-20. Iliwekwa mnamo 2010-03-05. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  2. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-25. Iliwekwa mnamo 2010-03-30. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa HM Pitje kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.