Uwanja wa michezo wa Goho
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Goho ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana huko Abomey, nchiniBenin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya shirikisho la mpira wa miguu na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Dynamo Abomey F.C inayoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 7,500.[1]
Viunga vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Maelezo ya uwanja Ilihifadhiwa 8 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Goho kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |