Uwanja wa michezo wa El-Shams
Mandhari
Uwanja wa michezo wa El-Shams unatumika kwa shughuli mbalimbali, unapatikana katika jiji la Cairo. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua takribani watu 15,000[1] uwanja huu unasimamiwa na serikali ya Misri. Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira wa miguu ya El Shams SC. Pia ulitumika kwa ajili ya mazoezi kwa timu ya taifa ya Ivory Coast kwa ajili ya kombe la mataifa ya Afrika lililofanyika mwaka 2019.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa El-Shams kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |