Uwanja wa michezo wa Dutywa
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Dutywa ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana katika ghuba ya mashariki, nchini Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya F.C Royals na Hotspurs F.C.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Dutywa kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |