Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa charles de Gaulle

Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle ni uwanja wa michezo unaopatikana Porto-Novo, Benin lililopewa jina baada ya Charles de Gaulle.Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka. Na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya 'Ouémé, Aiglons FC. Uwanja una uwezo wa kubeba washabiki 15,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. liberte-algerie.com. "ÉCHOS DE PORTO-NOVO : Toute l'actualité sur liberte-algerie.com". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-16. Iliwekwa mnamo 9 October 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.