Uwanja wa michezo wa Charles Mopeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Charles Mopeli ni uwanja wa michezo Unaopatikana Phuthaditjhaba, nchini Afrika Kusini. Unatumika mara nyingi na klabu ya Free State Stars ya PSL na African Warriors, klabu ya taifa ya daraja la kwanza. Uwanja huu unauwezo wa kubeba watu 35,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-21. Iliwekwa mnamo 2021-06-08. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Charles Mopeli kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.