Uwanja wa michezo wa Bunamwaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Bunamwaya ni uwanja wa michezo mseto unaopatikana katika mjini Wakiso Town,nchini Uganda. Hivi sasa unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu. Pia unatumika kama ukumbi wa Bunamwaya SC ya Super League ya Uganda. Uwanja una uwezo wa kuchukua watu takriban 5,000.[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. World Stadiums - Stadiums in Uganda. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-06-10. Iliwekwa mnamo 2021-06-11.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Bunamwaya kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.