Uwanja wa michezo wa Beatrix Mine Sports Complex

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Beatrix Mine ni uwanja wenye matumizi mengi huko Beatrix Mine, jimbo huru nchini Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Liverpool BTX.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Beatrix Mine Sports Complex kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.