Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Athlone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Athlone

Uwanja wa michezo wa Athlone ni uwanja wa michezo unaopatikana Cape Town,nchini Afrika ya Kusini. Mara nyingi hutumika kwa mchezo wa mpira wa miguu na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa Engen Santos. Uwanja huu ulijengwa mnamo mwaka 1972 na una uwezo wa kubeba watu 34,000.

Uwanja huu uliboreshwa kwa ajili ya kombe la dunia la mwaka 2010 kwa lengo la kuwa uwanja wa mazoezi. Gharama za maboresho zilikadiriwa kuwa R297 milioni.[1]

  1. Pollack, Martin (2009-03-02). "Athlone Stadium closed for pitch renovation". City of Cape Town. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-27. Iliwekwa mnamo 2010-02-18. {{cite news}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Athlone kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.