Uwanja wa michezo wa Ahmadu Bello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Ahmadu Bello wakati wa Sherehe Za Ufunguzi.
Uwanja wa Ahmadu Bello wakati wa Sherehe Za Ufunguzi.

Uwanja wa Ahmadu Bello pia hujulikana kama ABS unatumika kwa shughuli mbalimbali,upo jimbo la Kaduna, nchini Nigeria . ulijengwa mnamo mwaka 1965 na wasanifu wa Kiingereza jane Drew na Maxwell Fry. Kuanzia mwaka 2016, ulitumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu. Uwanja huo una uwezo wa kustahimili zaidi ya watu 16,000[1] Uwanja huu unachumba cha ndani cha kufwatilia matangazo ya moja kwa moja. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ahmadu Bello kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.