Uwanja wa michezo Cape Town
Uwanja wa Michezo wa Cape Town ni uwanja wa chama cha mpira wa miguu (soka) unaopatikina Cape Town nchini Afrika Kusini, ambao ulijengwa mnamo mwaka 2010 na Shirika la soka Duniani FIFA kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia.[1]
Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Stadium Complete. Shine 2010 (17 December 2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-01-29. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Cape Town kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |