Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa makumbusho wa Ikpeazu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Kumbukumbu ya Chuba Ikpeazu unatumika kuanda shughuli mbalimbali za michezo na unapatikana jimbo la Onitsha, nchini Nigeria. Ulijengwa mnamo mwaka 2009 na una uwezo wa kuingiza watu 5,000. Kwa sasa ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya mpira wa miguu ya Anambra Pillars F.C. na Anambra United F.C.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa makumbusho wa Ikpeazu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.