Uwanja wa Michezo wa Sisa Dukashe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Sisa Dukashe ni uwanja wa shughuli mbalimbali za kimichezo huko Mdantsane, karibu na Eastern Cape nchini Afrika Kusini. Hivi sasa unatumiwa zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu na mchezo wa ragbi.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sisa Dukashe kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.