Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Doctor Mario Sobrero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Doctor Mario Sobrero ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 1955 kwenye mji wa Rocha nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Rocha Fútbol na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Doctor Mario Sobrero kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.