Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ateniense

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Ateniense ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa kwenye mji wa San Carlos nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Club Atlético Atenas (San Carlos) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ateniense kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.