Uwanja wa michezo wa Adama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Michezo wa Adama)

Uwanja wa Michezo wa Adama ni uwanja wa michezo wenye wingi wa matumizi unaopatikana huko Adama katika Mkoa wa Oromia nchini Ethiopia.

Kwa sasa uwanja huu unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Adama City. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 4,000 kwa mara moja.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Adama kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.