Uwanja wa Michezo wa ABB Arena Syd
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa ABB Arena Syd ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uswidi. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2007 kwenye mji wa Västerås. Uwanja huo hutumiwa na timu ya Västerås SK Bandy, Tillberga IK Bandy na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 9,000.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Karlsson, Samuel. "Här vill politikerna bygga nya Scandinavium", Byggvärlden, May 16, 2023. (sv)
- ↑ Karlsson, Alva (Machi 31, 2022). "Politiker överens – Scandinavium ersätts med arena för 16 000 åskådare" [Politicians agree – Scandinavium is replaced with an arena for 16,000 spectators] (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 23 Mei 2023 – kutoka www.svt.se.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "ShieldSquare Captcha". www.globaldata.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa ABB Arena Syd kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |