Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Limbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo Limbe

Uwanja wa michezo wa Limbe ni uwanja wa michezo uliopo nchini Kameruni katika mji wa Limbe, mara nyingi ulitumiwa na shirikisho la michezo la Kameruni, una uwezo wa kuchukua jumla ya mashabiki 20,000. Uwanja huu ulijengwa mnamo mwaka 2012 na kuanza kutumika rasmi 26 Januari mwaka 2016 .[1] Ni moja ya viwanja vichache kabisa duniani vilivyojengwa juu ya mlima na unaweza kuona kuona bahari kutoka katika uwanja huu ,mwezi Novemba mwaka 2016 uwanja huu ulikuwa mwenyeji wa mashindano ya kwanza ya wanawake.

  1. "THE OPENING OF THE LIMBE OMISPORT STADIUM". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-07. Iliwekwa mnamo 2016-08-27. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Limbe kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.