Nenda kwa yaliyomo

Uuaji wa Abdirahman Abdi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifo cha Abdirahman Abdi mwenye asili ya Somalia na Kanada kilitokea 24 Julai 2016, katika kitongoji cha Hintonburg huko Ottawa, Ontario. Abdi alifariki katika tukio lililomhusisha na jeshi la polisi la Ottawa.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Abdi aliwasili Kanada akitokea Somalia mwaka 2009. Alihudumu katika kituo cha kuoshea magari japokuwa alikuwa hajaajiriwa mpaka pale mauti ilipomkuta.[1]

Wakati wa kifo chake alikuwa na umri wa miaka 37.[2] kufuatia kifo chake familia ya Abdi ilimuelezea kama mtu aliekua na matatizo ya akili.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Abdirahman Abdi depressed, unemployed before confrontation with Ottawa police: former boss | Globalnews.ca". Global News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
  2. "Ottawa man Abdirahman Abdi dies after confrontation with police". ottawacitizen (kwa Kiingereza (Canada)). Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
  3. News, Postmedia (2017-03-07), "Ottawa police officer charged with manslaughter in death of Abdirahman Abdi", National Post (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-04-16 {{citation}}: |last= has generic name (help)